Huheso FM

Miundombinu

August 5, 2022, 5:59 pm

Madiwani Manispaa ya Kahama waiomba halmashauri kutenga bajeti ya barabara

Madiwani wa Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wameiomba halmashauri¬† kutenga bajeti ambayo itasaidia kurekekebisha miundo mbinu ya barabara zilizopo katika kata ili kupunguza changamoto hiyo kwa wananchi. Wameyasema hayo leo katika kikao cha baraza la Madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa…