Dodoma FM

ziara ya rais

18 September 2023, 2:29 pm

Jamii yatakiwa kuzingatia lishe bora

Mara kadhaa Wizara ya Afya pamoja na taasisi mbalimbali za afya nchini zimekuwa zikitoa ushauri kwa  jamii kuzingatia ulaji wa lishe bora lengo ikiwa ni kuimarisha afya na kinga ya mwili. Na Diana Massae. Jamii  imetakiwa kuzingatia ulaji wa vyakula…

16 August 2023, 5:09 pm

Umaskini watajwa kuchangia lishe duni

Lishe ni muhimu kwa afya ya Watoto na Watu wazima ambapo ulaji duni kwa Watoto unaweza kusababisha mashambulizi ya maradhi kama vile utapiamlo na udumavu wa mwili. Na Yussuph Hassan. Ukata wa Maisha pamoja na Elimu duni kwa baadhi ya…

30 June 2023, 5:34 pm

Familia zatakiwa kuzingatia lishe bora Bahi

Ulaji unaofaa kwa kuzingatia makundi matano ya vyakula unajenga kinga ya mwili na kukabiliana na maambukizi ya magonjwa mbalimbali. Na Mindi Joseph. Jamii imehimizwa kuendelea kuzingatia mlo kamili ikiwemo makundi matano ya chakula ili kujenga familia zenye afya bora. Savera…

17 April 2023, 4:50 pm

Wananchi wakosa elimu ya mboga lishe

Mboga lishe ni miongoni mwa bidhaa za mbogamboga zinazopatikana katika masoko mbalimbali jijini Dodoma ingawa bidhaa hii imekuwa ikipatikana kwa uchache . Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara wa mboga lishe jijini Dodoma wamesema kuwa ukosefu wa elimu pamoja na…

9 June 2022, 3:32 pm

Serikali kufanya uwekezaji wa lishe kupambana na utapia mlo

Na;Mindi Joseph Chanzo. Serikali imeahidi kufanya Uwekezaji Kitaifa katika lishe nchini kama sehemu ya mapambano dhidi ya utapiamlo kuanzia ngazi ya Kaya hadi Taifa. Akizungumza Jijini Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu  (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. George…