Dodoma FM

zahanati

12 April 2022, 3:27 pm

Zahanati ya Kisokwe kukamilika punde

Na;Mindi Joseph. Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa imefanikiwa kupeleka Million 50 za kukamilisha  ujenzi wa  zahanati ya kisokwe wilayani humo. Taswira ya habari imezungumza na Diwani wa kata ya mazae Mwl Willium Madae amesema pesa hizo zitachangia Ujenzi wa zahanati…

24 June 2021, 8:15 am

Serikali yaombwa kutatua changamoto ya watumishi wa zahanati

Na; Victor chigwada Wananchi wa mtaa wa Chololo Kata ya Kikombo jijini Dodoma wameiomba Serikali kuwatatulia changamoto ya uhaba wa watumishi kwenye zahanati na Shule ya msingi.Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi hao wamesema pamoja na kupaza sauti…

21 May 2021, 1:27 pm

Changamoto ya zahanati chamwino wanawake kujifungulia njiani

Na; Benard Filbert Ukosefu wa huduma ya Zahanati katika Kijiji cha Chitabuli Wilayani Chamwino imetajwa kuwa changamoto kwa wananchi hivyo kusababisha   wajawazito kujifungulia njiani. Hayo yameelezwa na baadhi ya wakazi wa Kijiji hicho wakati wakizungumza na taswira ya habari kuhusu…