Dodoma FM

Wanawake

16 April 2024, 10:21 am

Ushiriki wa mwanamke katika kulinda, kutunza mazingira

Wakati mkutano wa 23 wa mabadiliko ya tabianchi wa Umoja wa Mataifa, COP 23, ukiingia wiki ya mwisho ya majadiliano mjini Bonn, Ujerumani, Rais wa mkutano huo alitangaza mpango wa utekelezaji wa kijinsia kwa kutambua nafasi ya wanawake katika suala…

4 April 2024, 5:01 pm

Nini kikwazo cha usawa wa kijinsia kwenye uongozi wa kisiasa

Kutokana na hali hiyo Mariam Matundu amezungumza mtaalamu kutoka shuo cha serikali za mitaa Hombolo na ameanza kuuuliza nini kikwazo katika usawa wa kijinsia kwenye uongozi wa kisiasa. Na Mariam Matundu.Leo tunaangazia uongozi katika siasa ,ambapo kwa mujibu wa takwimu…