walimu
9 February 2022, 3:51 pm
Wakazi wa Chididimo waiomba serikali iwatatulie kero ya upungufu wa walimu
Na; Neema Shirima. Wakazi wa mtaa wa Chididimo kata ya Zuzu wameiomba serikali iwaongezee waalimu katika shule iliyopo katika mtaa huo. Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema katika shule ya msingi Chididimo waalimu ni wachache jambo ambalo linawafanya…
20 October 2021, 12:24 pm
Wakazi wa kata ya Chigongwe walalamikia uhaba wa nyumba za walimu na uchache wa…
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Chigongwe Wilaya ya Dodoma mjini wamelalamikia ukosefu wa nyumba za walimu pamoja idadi ndogo ya walimu katika shule ya msingi Ngh’ambala Baadhi ya wananchi hao wakizungumza nataswira ya habari wamesema kuwa changamoto ni…
9 September 2021, 1:20 pm
Waziri Ummy apiga marufuku walimu kuhama kabla ya kupeleka walimu wengine
Na;Mindi Joseph . Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Mhe Ummy Mwalimu amepiga marufuku kuhamisha walimu kutoka katika Halmashauri zilizoko pembezoni Nchini kabla ya kupeleka walimu mbadala. Akifungua mkutano wa baraza la wafanyakazi Tawi la…
23 July 2021, 12:11 pm
Mkuu wa mkoa wa Dodoma ameitaka Benki ya mwalimu(MCB) kuwasaidia walimu kupata m…
Na; Mindi Joseph. Mkuu wa mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka ameitaka benki ya Mwalimu kuwasaidia walimu nchini kupata mikopo yenye masharti nafuu. Akizungumza jijini Dodoma wakati akizindua mpango wa mikopo ya mashine za uzalishaji mali ujulikano kama Mwalimu na Ujasiriamali…