Dodoma FM
wakulima
13 October 2021, 1:50 pm
Wakulima jijini Dodoma waahidi kulipa asilimia 5% ya wastani wa mavuno kwa mwaka
Na;Mindi Joseph . Wakulima Jijini Dodoma wameahidi kutekeleza ulipaji ada ya asilimia tano 5% ya wastani wa mavuno kwa msimu wa mwaka kwa hekari katika kuendelea kukuza kilimo cha umwagiliaji Nchini. Taswira ya habari imezungumza na wakulima Wilayani bahi ambapo…