Dodoma FM
vyeti
10 June 2022, 3:56 pm
Sejeli yaiomba serikali kusaidi ujenzi wa vyumba vya madarasa
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa kijiji cha Mbande Kata ya Sejeli Wilaya ya Kongwa wameiomba Serikali kuwasaidia ujenzi wa vyumba vya madarasa kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi kwa sasa Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na Taswira ya habari wamesema…
3 September 2021, 1:03 pm
Wizara ya Afya imesema inaendelea kuboresha suala la upatikanaji wa vyeti njia y…
Na;Yussuph Hans. Wizara ya Afya Maendeleo ya jamii Jinsia Wazee na Watoto imesema inaendelea kuboresha suala la upatikanaji wa vyeti Kwa njia ya TEHAMA kwa waliopatiwa chanjo ya UVIKO-19 ambapo Hadi Sasa imewapatia Mafunzo watoa huduma zaidi ya 1994. Hayo yamebainishwa Jijini…