Dodoma FM

Unyonyeshaji

16 October 2023, 6:44 pm

Wakazi wa Handali walalamika kukosa maji safi na salama

Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA wapo kwenye mpango wa bajeti katika  kuhakikisha miundombinu ya maji katika kijiji cha Handali inafufuliwa. Na Mindi Joseph. Kusimama kwa Mradi wa Maji unaogharimu zaidi ya Milioni 600 katika kijiji cha…

19 September 2023, 4:31 pm

Mradi wa maji wa Nzugumi wafikia asilimia 87

Mkoa wa Dodoma unazalisha nusu ya mahitaji ya maji ambapo mahitaji ya maji ni lita Milion 133 kwa siku na yanayozalishwa ni lita milion 67.8 hivyo kuwa na upungufu wa lita Milioni 66.7 kwa siku. Na Mindi Joseph. Mradi wa…

9 June 2023, 12:44 pm

Huduma ya maji nchini sasa 88% mijini, 77% vijijini

Aidha ametoa wito kwa jamii kuzingitia sheria na kulinda miundombinu ya maji ili kuunga mkono jitihada za upatikanaji wa huduma ya maji nchini. Na Alfred Bulahya. Imeelezwa kuwa hali ya upatikanaji wa huduma ya maji nchini imeendelea kuimarika na kufikia…

29 May 2023, 8:09 pm

Wananchi Bahi Makulu kupelekewa huduma ya maji

Na Bernad Magawa. Mbunge wa jimbo la Bahi Mheshimiwa Kenneth Nollo ameahidi kupeleka huduma ya maji safi katika kijiji cha Bahi Makulu ili kuwaondolea adha wananchi kutokana na kutokuwepo kwa huduma hiyo kijijini hapo. Nollo ameyasema hayo Mei 28, 2023…

25 January 2023, 4:40 am

Upatikanaji wa Maji Mlowa barabarani bado ni changamoto

Na; Victor Chigwada.                                              Licha ya maboresho kufanywa katika kisima cha maji katika kata ya Mlowa barabarani  lakini bado upatikanaji wa huduma ya maji katika kata hiyo unasuasua. Wananchi wa Kata ya Mlowa barabarani wamesema kuwa licha ya uwepo wa kisima…

21 January 2023, 10:13 am

Wakazi wa Igungulile walazimika kutumia maji ya Mabwawa

Na; Victor Chigwada.                                                 Kukosekana kwa huduma ya Maji safi na salama imetajwa kuwa ni sababu ya Wananchi wa kijiji cha Igungulile wilayani Chamwino kutumia  maji ya mabwawa. Mwenyekiti wa kijiji cha Igungulile Bw.Hamisi Msangi amesema changamoto ya maji imesababisha wananchi…