Dodoma FM

ulinzi

24 January 2024, 11:55 pm

Wafanyabiashara wa Mchele Bahi walia kukosa soko la uhakika

Mamlaka zinazohusika na suala hili zinatakiwa kuharakkisha upatikanaji wa huduma ya soko ili wakulima wa mpunga waweze kuuza mchele badala ya kuuza mpunga ambao wanaeleza kuwa faida yake ni ndogo. Na Bernad  Magawa. kukosekana kwa soko la uhakika la mchele…

4 January 2024, 4:42 pm

Bei ya sare na vifaa vya shule yapaa

katika soko la machinga complex bidhaa zinazoonekana kushamiri ni pamoja na sare za shule kama mashati, sweta za shule madaftari pamoja na viatu vya shule. Na Thadei Tesha.Wakati wanafunzi wakijiandaa kufungua shule kwa ajili ya kuanza masomo yao kwa mwezi…

27 November 2023, 2:11 pm

Majengo waeleza kunufaika na mikopo

Uwepo wa Taasisi za kifedha zinazojihusisha na utoaji wa mikoo kwa wajasiliamali imechangia kukuza biashara zao na kupata kipato cha kuendesha familia. Na Khadija Ibrahim. Wafanyabiashara katika soko kuu la majengo Jijini Dodoma wameeleza kunufaika kiuchumi kutokana na mikopo inayotolewa…

8 November 2023, 6:05 pm

Wizi waibuka soko la Machinga Complex Dodoma

Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu kuzinduliwa  kufanya biashara kwa wamachinga ambapo awali walikuwa wakifanyia biashara katika maeneo ya katikati ya jiji la Dodoma. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara katika soko  la Machinga Complex jijini Dodoma wamelalamikia tabia ya…

18 October 2023, 1:47 pm

TBS yasisitiza wadau kushiriki uandaaji wa viwango

Wizara ya Viwanda na Biashara kwa kushirikiana na Shirika la Viwango Tanzania, TBS, Shirika la Viwango Zanzibar, ZBS pamoja na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF), imeandaa tuzo za ubora za kitaifa awamu ya nne kwa 2023 kwa wajasiriamali, wazalishaji wa…

27 September 2023, 4:22 pm

Usimamizi mbovu wapelekea biashara nyingi kufa

Usimamizi wa biashara nyingi umekuwa ni changamoto na sababu kubwa inayochangia kuanguka kwa asilimia kubwa ya biashara hizo. Na Mindi Joseph. Usimamizi wa Biashara kwa wafanyabiasha imetajwa kuwa bado ni changamoto inayochangia kuanguka kwa asilimia kubwa ya biashara. Hayo yamebainishwa…

19 September 2023, 5:18 pm

Wafanyabiashara Majengo wapongeza kuimarika kwa usafi

Usafi katika Soko hilo umesaidia kuendelea kuepukana na Magonjwa mbalimbali ya Mlipuko yatokanayo na uchafu. Na Mindi Joseph.Wafanyabiashara katika soko kuu la Majengo wamesema hali ya usafi imeimarika katika soko hilo kufuatia kuwepo kwa eneo maalum la kuweka takataka. Baadhi…

21 August 2023, 4:04 pm

Masoko ya nje chanzo tikiti maji kuadimika nchini

Tunda la tikiti ni moja kati ya matunda muhimu sana katika afya ya mwanadamu kutokana na madini yaliyo ndani yake kama vile Calcium na vitamin A. Na Neema Shirima. Baadhi ya wafanyabiashara wa tunda la tikiti maji katika soko kuu …