Dodoma FM

Uchunguzi

9 January 2024, 11:38 pm

Wananchi wahimizwa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa

Uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa unatarajia kufanyika mwaka huu huku wananchi wakiendelea kusisitizwa suala la kushiriki katika kuchagua viongozi sahihi. Na Thadei Tesha. Mkuu wa wilaya ya Dodoma mh. Jabir Shekimweri amewataka wananchi jijini Dodoma kushiriki kikamilifu…

27 December 2023, 4:58 pm

Wakazi wa Bicha Kondoa wahofia kuathirika na mafuriko

Wananchi wanaoishi pembezoni mwa mkondo wa maji wamekuwa wakisisitizwa kuhama maeneo hayo ili kuepuka athari ambazo zinaweza kuwapata ikiwemo ikiwemo mvua kubwa zinazoambatana na uharibifu wa mali na maisha ya watu. Na Nizar Mafita. Wananchi wa Mtaa wa Bicha katika…

28 September 2023, 4:42 pm

MCT yakiri kukinzana kwa sheria ya matumizi sahihi ya mitandao

Hali hiyo imekuwa ikikinzana  na Sheria ya haki ya kupata Taarifa  ambayo inatoa wigo kwa wananchi kuwa huru kupata taarifa ambazo hazijazuiliwa kisheria. Na Seleman Kodima. Pamoja na Serikali kuhimiza Matumizi sahihi ya Mitandao ya kijamii, Baraza la Habari Tanzania…

28 August 2023, 3:22 pm

Wananchi watakiwa kushiriki wiki ya ufuatiliaji na tathmini

Kongamano hili la Pili la Kitaifa la Wiki yaUfuatiliaji na Tathmini litakalofanyika Jijini Arusha mapema mwezi Septemba, itawalenga zaidi,wataalam wa Ufuatiliaji na Tathmini,Maafisa na Mameneja wa Miradi kutoka katika Taasisi zote za Umma,Taasisi Binafsi, makampuni, Asasi za Kiraia na mashirika…

24 July 2023, 6:37 pm

Mikoa yote nchini yaagizwa kuadhimisha siku ya mashujaa

Maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yamekamilika katika eneo la Mtumba jijini Dodoma huku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kesho kuweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa eneo hilo. Na…