

25 May 2023, 4:37 pm
Amewaagiza watendaji wa SUMA JKT kuhakikisha wanasimamia mitambo hiyo ili ilete tija iliyokusudiwa katika kuongeza ufanisi wa SUMA JKT. Na Alfred Bulahya. Jeshi la Kujenga Taifa kupitia SUMMA JKT, limezindua rasmi mitambo mikubwa ya kuzalisha na kusafirisha zege yenye thamani…