Mnadani
18 January 2024, 9:23 am
Wakulima wakosa elimu ya upimaji wa Udongo
Kata ya Handali ni wananchi 5 pekee ndio waliweza kukamilisha zoezi la upimaji udongo wa mashamba yao licha ya kipimo hicho kufanyika bure bila malipo katika ofisi za Wilaya ya Chamwino. Na Victor Chigwada. Imeeezwa kuwa wakulima wengi wamekosa elimu…
15 January 2024, 8:56 pm
Familia yakumbwa na taharuki vitisho vya kuvunjiwa nyumba yao
Kesi hiyo kwa sasa ipo katika ofisi za ardhi za halmsahauri ya jiji la Dodoma ambapo Dodoma Tv Itaendelea kufatilia sakata hilo ili kujua hatma yake. Na Fred Cheti.Familia moja katika kijiji cha Vikonje Wilaya ya Dodoma Mjini Mkoani Dodoma…
13 December 2023, 8:17 pm
Wakazi wa Azimio waombwa kuwa watulivu sakata la mgogoro wa ardhi
Hivi karibuni Waziri wenye dhamana ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Mh.Jerry Silla alielekeza watendaji wa sekta ya ardhi nchini kuhakikisha ndani ya siku mia moja kuanzia Sept 4-2023 wanatatua migogoro ya ardhi kwa kadri ya uwezo wa nafasi…
28 November 2023, 6:00 pm
Waziri Mkuu atoa Tamko mradi uboreshaji milki za Ardhi
Mradi huu unatekelezwa katika kipindi cha miaka mitano (5) na una vipengele vinne (4) ambavyo ni Kuongeza Usalama wa Milki; Kuimarisha Mifumo ya Taarifa za Ardhi; Kujenga Miundombinu ya Ardhi na Usimamizi wa Mradi. Na Seleman Kodima. Wakurugenzi wa Halmashaurii…
18 October 2023, 9:48 am
Wakazi wa Nholi waaswa kuepuka migogoro ya ardhi
Kupitia zoezi la urasimishaji wa ardhi nchini itasaidia kutoa hati ya umiliki wa vipande vya ardhi na kupunguza changamoto za kugombania na mashamba. Na Victor Chigwada. Wito umetolewa kwa wananchi wa kijiji cha Nholi kuepukana na migogoro ya ardhi…
7 September 2023, 2:51 pm
Wananchi watakiwa kutoa ushirikiano mradi wa uboreshaji milki za ardhi
Chalinze ni miongoni mwa halmshauri 41 zinakazopitiwa na mradi wa Uboreshaji usalama wa milki za ardhi, ambapo Zaidi ya viwanja 7,600 vimepimwa, huku viwanja 50,000 vikitarajiwa kupimwa mpaka mwisho wa mradi huo. Na Seleman Kodima. Wakazi wa Chalinze wametakiwa kutoa…
4 September 2023, 4:09 pm
Kigoma Ujiji kupima, kusajili makazi 10,000 katika mitaa 25
Mradi huu umelenga kuboresha usalama wa milki za ardhi kwa kupanga, kupima na kusajili milki za ardhi zipatazo milioni 2.5 zinazojumuisha hatimilki 1,000,000 na Leseni za Makazi 1,000,000 katika maeneo ya mijini na Hati za Hakimilki za Kimila 500,000 vijijini.…
29 August 2023, 4:00 pm
Wakazi Bihawana watakiwa kujitokeza kuhakiki taarifa za ardhi
Lengo la mradi wa LTIP ni kuboresha ufanisi katika utawala wa ardhi na kuongeza usalama wa milki kwenye maeneo ya mradi. Na Seleman Kodima. Wakazi wa mtaa wa Bihawana kata ya Mpunguzi jijini Dodoma wametakiwa kujitokeza hapo kesho kwa ajili…
28 August 2023, 10:13 am
Milki 60,000 kusajiliwa Kigoma na Chalinze
Kati ya Mwezi Julai 2023 hadi Agosti 2023 zaidi ya makazi 3,000 (Manispaa ya Kigoma Ujiji) na makazi 5,000 (Halmashauri ya Chalinze) yametambuliwa na kupangwa. Na Seleman Kodima. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Uboreshaji…
24 July 2023, 1:10 pm
Mpango matumizi ya ardhi kupitia LTIP kiboko ya migogoro ya ardhi
Mradi wa Uboreshaji wa milki salama za ardhi utawezesha haki kupatikana na kufanikisha uwepo wa ushirikiano wa familia kati ya mume na mke na upatikanaji wa hati za kimila . Na Seleman Kodima. Viongozi wa serikali za Mitaa wametakiwa kutoa ushauri…