Dodoma FM

miradi ya maji

19 November 2023, 12:22 pm

Ushirikiano wa wenza katika kumiliki mali

Na Leonard Mwacha. Hii leo tunaangazia umuhimu wa wenza kushirikiana katika umiliki wa mali. Mwenzetu Leonard Mwacha amefanya mazungumzo na mwanasheria na ameanza kumuuliza hali ikoje kwa wanawake kushirikishwa katika umiliki wa mali wa pamoja na wenza wao.

16 August 2023, 1:53 pm

Usawa kijinsia sio kukandamiza kundi fulani

Kikao kazi hicho cha siku moja, kinapokea taarifa za utekelezaji wa sekta na wadau kuhusu usawa wa kijinsia kwa kipindi Januari hadi Juni, 2023. Na WMJJWM,  Dodoma Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt…