Dodoma FM
mimba za utotoni
27 August 2021, 12:40 pm
Wasichana walio katisha masomo yao kutokana na mimba za utotoni watakiwa kusaidi…
Na;Yussuph Hans. Jamii imetakiwa kuwasaidia Wasichana waliokatisha Masomo yao kutokana na Mimba za Utotoni ili waweze kujisimamia kiuchumi. Hayo yamebainishwa na Katibu Mtendaji wa Asasi ya SAIKO Center Silvia Srriwa wakati akizungumza na kituo hiki ambapo amesema kuwa Wasichana wanaopata…
4 August 2021, 10:46 am
Jamii imetakiwa kufichua mimba za utotoni ili kumkomboa mtoto wa kike
Na;Benard Filbert. Jamii imeombwa kutokufumbia macho na badala yake kufichua vitendo vya mimba za utotoni ili kuepusha kumkosesha haki za msingi mtoto wa kike. Wito huo umetolewa na afisa maendeleo kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dodoma Bi Onalatha…