Dodoma FM

michazo

28 November 2023, 6:11 pm

Muendelezo wa Siku 16 za kupinga ukatili

Na Mariam Matundu. Tukiwa bado katika siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia leo tunakuuliza ni njia gani ya haraka unaweza kuitumia kuripoti vitendo vya ukatili ? Leonard mwacha amezungumza na mkuu wa dawati la jinsia na watoto mkoa wa…

27 November 2023, 5:44 pm

Leo tunaangazia siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia

Hatua za kutokomeza ukatili zianzie katika ngazi ya familia. Na Mwandishi wetu. Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia imezinduliwa ikiwa na kauli mbiu isemayo wekeza kutokomeza ukatili ,kaulimbiu ambayo imewaleta wadau ,serikali na famili kwa pamoja katika…

13 November 2023, 4:31 pm

Ubakaji, ulawiti kwa watoto wakithiri Dodoma

Ripoti hiyo ni kwa mujibu wa Kituo cha One stop center kwa mwezi Septemba 2023 ambapo takwimu zimebainisha kuwa mkoa wa Dodoma matukio ya ukatili wa kijinsia kwa  watoto 130  kwa matukio ya ubakaji huku watoto 69 wakilawitiwa. Na Seleman…

25 October 2023, 1:46 pm

Jamii yaonywa kuepuka unyanyasaji wa kijinsia

Katibu huyo amewasihi wanaume ambao wamekuwa wakipigwa na wake zao majumbani kufichua vitendo huvyo bila haya ili sheria iweze kuchukua mkondo wake. Na Bernad Magawa. Katibu wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Bahi Paulina Deus Bupamba amekemea vikali suala la…

9 August 2023, 4:19 pm

Nini kifanyike kesi za ukatili kingono zisimalizwe kifamilia?

Unyanyasaji unaweza kutokea katika mazingira mbalimbali ya kijamii kama vile sehemu za kazi, nyumbani, shuleni au kwenye Taasisi za kidini. Na Mariam Matundu. Ni aina ya unyanyasaji unaohusisha matumizi ya matamshi ya ngono ya wazi au ya siri, ikiwa ni pamoja na ahadi zisizohitajika…

1 August 2023, 2:51 pm

Wadau waitaka serikali kudhibiti usafirishaji wa binadamu

Asilimia 50 ya watu wanaosafirishwa wanatumikishwa kingono ilhali asilimia 38 ni utumikishwaji kwenye ajira mbalimbali. Na Fred Cheti. Wadau mbalimbali wa masuala ya kupinga usafirishaji haramu wa binadamu wameitaka serikali kuweka mikakati madhubuti ya kudhibiti usafirishaji wa binadamu hapa nchini.…

10 March 2023, 3:39 pm

Mitandao yachangia ukatili wa kijinsia kwa vijana balehe

Profesa huyo ameiomba serikali kusimamia utekelezaji wa sheria hiyo huku akipendekeza kutungwa kwa kanuni zenye mlengo wa kijinsia zitakazotoa ulinzi maalum kwa watoto wa kike na wanawake dhidi ya ukatili wa mtandaoni. Na Zania Miraji. Takwimu zinaonyesha kuwa asilimia 4…