Dodoma FM
maliasili
16 February 2022, 3:43 pm
Zoezi la uchukuaji wa miti katika ofisi za maliasili litekelezwe na kila mwananc…
Na; Thadei Tesha. Wananchi jijini Dodoma wamewataka viongozi wa mitaa mbalimbli jijini hapa kuendelea kuhamasisha kufika katika ofisi za maliasili kuchukua miche ya kupanda katika maeneo yao Wakizungumza na taswira ya habarri baadhi ya wananchi jijini hapa wamesema ni wakati…