

24 May 2023, 6:56 pm
Wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi ili kupata huduma kutoka kwa madaktari hao. Na Fred Cheti. Timu ya madaktari bingwa kutoka sehemu mbalimbli nchini inatarajia kuweka kambi ya siku mbili katika vituo vya afya vya Makole na Mkonze kwa ajili ya…