Dodoma FM

Maabara

7 December 2021, 11:05 am

Wamiliki wa maabara watakiwa kusimamia ubora wa maabara zao

Na; Shani Nicolous. BODI ya Maabara Binafsi za Afya (PHLB) nchini inawasisitiza wamiliki na wataalamu wa maabara kote nchini, kusimamia ubora wa maabara zao ili kuleta huduma sahihi katika jamii. Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Msajili wa Bodi ya Maabara…

31 March 2021, 6:25 am

Maabara bubu zatakiwa kujisajili hadi kufikia aprili 30

Na ; Mariam kasawa Wamiliki wa Maabara bubu Nchini ambazo hazijasajiliwa wamepewa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia leo hadi Aprili 30 wawe wamesajili Maabara zao ili kuepuka kufungiwa. Agizo hilo limetolewa  na Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Wizara ya…