Dodoma FM

elimu ya Afya

30 November 2023, 2:57 pm

TAMWA yahimizwa kuweka mkazo ajenda ya uhuru wa kujieleza

(TAMWA) tunaahidi kumuunga mkono kivitendo kwa sababu ni jukumu ambalo tumealianza tangu miaka 36 iliyopita. Na Alfred Bulahya. Chama cha wahandishi wa habari wanawake Tanzania (TAMWA) kimetakiwa kuweka mkazo mkubwa katika uhuru wa kujieleza unaojumuisha sauti za wanawake ndani ya…

29 November 2023, 4:42 pm

Wanawake watakiwa kujikita katika nyanja za siasa

Maadhimisho hayo yamehitimishwa leo Nov 29 Jijini Dar es salaam . Naibu Waziri wa Habari Kundo Mathew amesema matamanio yake ni kuona wanawake wapo katika nyanja za kisiasa kama ilivyo kwa rais Dkt Samia Suluhu Hassan Ameyasema hayo Nov 28,…

29 August 2023, 3:43 pm

Serikali, wadau kushirikiana kukwamua wanawake kiuchumi

Mikopo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 63.489 imetolewa na kuwanufaisha wanawake zaidi ya 938,800. Na WMJJWM. Serikali itaendelea kushirikiana na wadau ili kuhakikisha wanawake wanapata fursa mbalimbali za kujikwamua kiuchumi na kuendeleza biashara zao. Hayo yamesemwa na Waziri…

18 July 2023, 12:52 pm

Wanawake Bahi watakiwa kusimamia maadili ya watoto

Mbunge wa Bahi amesema kipaumbele chake ni kuhakikisha afya ya mama na mtoto inakuwa salama. Na Bernad Magawa. Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Fatuma Taufiq amewaasa wanawake wilayani Bahi kusimamia maadili ya watoto ili kutokomeza viashiria vya…

31 May 2023, 12:37 pm

Serikali kuwaunga mkono wajasiriamali wa WAUVI

Wajasiriamali hao wametakiwa kuacha kutengeneza bidhaa kwa mazoea badala yake wabadilike na kupiga hatua. Na Alfred Bulahya. Zaidi ya wanachama 3000 wa taasisi ya wanawake na uchumi wa viwanda mkoa wa Dodoma, wamehitimu mafunzo ya ujasiriamali yaliyohusu usindikaji wa vyakula,…

5 May 2023, 3:06 pm

Mila na desturi kandamizi zatajwa kumdidimiza mwanamke

Aidha ameisihi jamii kuwaamini wanawake katika maamuzi kwani hata Dira ya Taifa ya 2025 ya JMT,  Malengo ya Maendeleo Endelevu (2030) hasa lengo Na. 5 na MKUKUTA (I&II) vinataka kuwepo kwa usawa katika masuala ya uongozi ama maamuzi.  Na Alfred…

14 April 2023, 11:51 am

Wanawake watakiwa kupambana na mmomonyoko wa maadili

Hivi karibuni serikali kupitia waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mh Nape Nnauye ilisema kuwa Ushoga,Usagaji pamoja na mapenzi ya jinsia moja hayana nafasi nchini. Na Fred Cheti. Wito umetolewa kwa wanawake nchini kusimama katika nafasi zao katika ulezi…

9 March 2023, 5:29 pm

Wanawake watakiwa kutetea haki za watoto

Mkuu wa Mkoa amewataka wanawake kusimama imara katika jamii kupinga ukatili wa kijinsia pamoja na kutetea haki za watu wenye ulemavu. Na Mariam Kasawa. Wanawake wametakiwa kusimama imara kutetea haki za watoto pamoja na haki za watu wenye ulemavu Nchini.…

3 March 2023, 2:50 pm

UWT Bahi walipongeza  Dawati la Jinsia na Watoto

Mkuu huyo ametoa wito kwa wananchi kutoa taarifa za ukatili ili kumsaidia kila mmoja kuishi kwa furaha . Na Bernad Magawa Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake Dunuani ambayo hufanyika machi  8 kila mwaka, Jumuiya ya wanawake…

28 February 2023, 5:59 pm

Kausha damu yawaliza wanawake Jijini Dodoma

Mikopo hiyo imepachikwa jina la kausha damu kutokana na maumivu wanayopata wakopaji kwa kuwa na riba kubwa  ambayo imegeuka kuwa  machungu. Na Mindi Joseph. Wanawake Kata yA Makole Jijini Dodoma wametajwa kuwa Waathirika wakubwa wa mikopo ya kausha damu na…