chanjo
22 November 2021, 10:39 am
Jamii yatakiwa kuhakikisha watu wanamaliza dozi ya chanjo ya sinopharm
Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa jamii kuhakikisha watu wanamaliza dozi ya chanjo ya sinopharm mara baada ya kuchanja awamu ya kwanza. Wito huo umetolewa na Mratibu wa elimu ya afya Mkoa Dr .Nassoro Ally Matuzya amesema kuwa chanjo hiyo…
19 October 2021, 11:10 am
Mwititikio wa chanjo katika kata ya zuzu walalamikiwa kuwa hafifu
Na; Shani Nicolaus. Imeelezwa kuwa Pamoja na elimu inayoendelea kutolewa kwa baadhi ya maeneo nchini juu ya chanjo ya uviko 19 lakini mwitikio wa kuchanja katika kata ya Zuzu umekuwa mdogo. Akizungungumza na Dodoma fm Diwana wa kata hiyo Mh.…
18 October 2021, 12:59 pm
Rais Samia awataka wananchi kujikinga na uviko 19 kwa kupata chanjo
Na; Fred Cheti. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hasani amewataka watanzania kujikinga na uviko 19 kwa kupata chanjo ili kuipunguzia serikali gharama zitakazotokana na matibabu ya ugonjwa huo. Rais Samia ameyasema hayo leo octoba 18 jijini…
2 September 2021, 1:42 pm
Chanjo ya UVIKO 19 inamuepusha mtu alie chanjwa dhidi ya homa kali na madhara ya…
Na;Yussuph Hans. Inaelezwa kuwa moja ya sababu kubwa ya kupata chanjo ya UVIKO-19 ni kumuepusha mtu aliyechanjwa dhidi ya homa kali, pamoja na madhara yake pindi akiambukizwa virusi vya Korona. Hayo yamebainishwa na Mtaalamu kutoka kikosi kazi cha kitaifa cha…
25 August 2021, 1:17 pm
Wananchi jijini Dodoma wanaendelea kuhamasishwa kujitokeza kupata chanjo ya uvik…
Na; Benard Filbert. Halmashauri ya jiji la Dodoma inaendelea kuhamasisha wananchi kujitokeza kupata Chanjo ya uviko 19 kwa hiyari lengo ikiwa kukabiliana na ugonjwa huo. Hayo yameelezwa na afisa afya wa jiji la Dodoma Abdala Mahiya wakati akizungumza na taswira…
4 August 2021, 10:14 am
Wakazi wa Dodoma watakiwa kupuuza taarifa za upotoshaji kuhusu chanjo ya uviko 1…
Na;Yussuph Hans. Wakazi Mkoani Dodoma wametakiwa kuhakikisha watumia vyema fursa ya kupata chanjo ya Uviko-19 na kupuuzia taarifa za upotoshaji kutoka katika mitandao ya kijamii na za mtaani. Wito huo umetolewa mapema leo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh…
14 July 2021, 12:16 pm
Wakazi wa Ihumwa waelezea imani yao dhidi ya chanjo ya Uviko 19
Na; Victor Chigwada. Baadhi ya wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wamekuwa na maoni tofauti juu ya dhana ya uchunguzi wa chanjo ya Uviko 19 ambayo bado haijathibitishwa kutolewa hapa Nchinini Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi…