Dodoma FM

vijana

3 April 2024, 5:16 pm

Watu wa karibu wana mchango gani kwa kijana kuwania uongozi

Leo tunaangazia Watu wa karibu wanamsaidiaje kijana kuwania nafasi za uongozi wa serikali za mitaa ambapo Selemani kodima anatuletea taarifa ifuatayo. Na Seleman Kodima.Ikiwa Mwaka huu Tanzania tunafanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unahusisha kuchagua viongozi kwenye nafasi za…

20 January 2022, 4:36 pm

Taasisi zatakiwa kuwapatia vijana mbinu za kujikwamua kiuchumi.

Na; Thadei Tesha. Taasisi mbalimbali za binafsi na serikali zimetakiwa kushirikiana na viongozi wa dini ili kuwasadia vijana katika kuwapa mbinu mbalimbali za maisha ili kujikwamua kiuchumi. Taswira ya habari imefanya mahojiano na baadhi ya viongozi wa dini kutoka sehemu…

29 November 2021, 1:05 pm

Vijana watakiwa kupunguza tabia hatarishi

Na; Shani Nicolous. Vijana wametakiwa kupunguza tabia hatarishi za maisha zinazosababisha kuogopa kupima Virus vya Ukimwi. Akizungumza na Taswira ya habari mtaalamu wa afya kutoka katika taasisi ya COHASO Teobad Abdon amesema kuwa vijana wengi wanajihusisha na mahusiano na watu…

15 September 2021, 2:12 pm

Mbunge wa Dodoma mjini amewataka vijana kufanya kazi kwa weledi

Na;Mindi Joseph. Mbunge wa Dodoma Mjini Mh Athony mavunde amewataka vijana kufanya kazi kwa weledi pindi wanapopata nafasi ya kuaminiwa kufanya kazi Kwenye Taasisi mbalimbali Nchini. Akizungumza na taswira ya Habari Mh Mavunde amesema vijana wanapopewa jukumu la kufanya kazi…