Dodoma FM

Utalii

November 23, 2022, 1:45 pm

Wananchi watakiwa kujitokeza kupata elimu ya utalii.

Na; Benard Filbert. Wakazi wa Mkoa wa Dodoma wameombwa kujitokeza  kwenye tamasha la utalii katika eneo la Nyerere square  tarehe 26 mwezi huu kwa  lengo la kupata elimu ya utalii. Hayo yameelezwa na Dorothea Masawe  kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa…

April 26, 2021, 5:52 am

Wakazi wilayani Chamwino wanatarajia kunufaika na mradi wa boresha lishe

Na; Selemani Kodima. Wakazi wa kijiji cha Chanhumba wilayani Chamwino wamesema wanatarajia kupata Elimu zaidi juu ya Lishe bora kupitia mfululizo wa  Vipindi vya Redio vya Dodoma fm   ili kusaidia kupunguza hali ya udamavu katika maeneo yao .  Wakizungumza na…