Dodoma FM

uchumi

12 July 2021, 1:16 pm

Wanaume Bahi wadaiwa kufanya unyanyasaji wa kiuchumi

Na; Shani Nicolous. Baadhi ya wanaume katika kata ya Bahi Wilaya ya Bahi, Mkoani Dodoma wanadaiwa kufanya unyanyasaji wa kiuchumi katika familia zao hususani katika kipindi hiki cha msimu wa mavuno. Hayo yamesemwa na Diwani wa kata hiyo Bw. Agustino…

26 June 2021, 3:15 pm

Waathirika wa dawa za kulevya Nchini wasaidiwe

Na;Mindi Joseph Serikali imesema  tatizo la matumizi ya Dawa za kulevya Nchini limeendelea kuongezeka siku hadi siku huku akitoa Maelekezo mbalimbali  kwa kuwasiadia  waathirika wadawa za kulevya kiuchumi ili wasirudi katika matumizi ya Dawa hizo. Akizungumza hii leo Jijini Dodoma…