Dodoma FM

mimba za utotoni

12 October 2022, 11:30 am

CVT kutoa vipimo bure siku ya uono Duniani

Na; Alfred Bulahya Kuelekea siku ya Uono Duniani octoba 13, Clinic ya Macho ya CVT iliyopo Jijini Dodoma imepanga kutoa huduma za upimaji wa macho bure katika siku hiyo na kutoa huduma ya upasuaji na miwani kwa gharama nafuu ili…

27 May 2022, 2:58 pm

Jamii yatakiwa kutofumbia macho ajali zinazo athiri macho

Na;Yussuph Hassan.     Jamii imeshauriwa kutofumbia macho ajali mbalimbali zinazoathiri macho kwani kufanya hivyo ni kuhatarisha uoni ambao unaweza kusababisha upofu baadae. Ushauri huo umetolewa na Bingwa wa Magonjwa ya Macho kutoka kliniki ya Cvt Dodoma Dkt Nelson Mtajwaa wakati akizungumza…