mawasiliano
25 April 2024, 6:26 pm
UCSAF yatakiwa kuvifikia vijiji ambavyo havina mawasiliano
Ujenzi wa Jengo la Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote UCSAF ulianza April 2021 na ujenzi huu umegharimu bilion 3.8. Na Mindi Joseph.Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameitaka UCSAF kusimamia kwa karibu ujenzi wa minara ya mawasiliano unaoendelea…
27 March 2024, 6:14 pm
Jamii yaaswa kuzingatia matumizi sahihi ya mitandao
Ulimwengu kwa sasa umeshuhudia ukuaji mkubwa wa matumizi ya teknolojia na pia intaneti Lakini watumiaji wengi wa teknolojia hizi wamekua katika hatari ya kuingia katika matumizi mabaya ya teknolojia hii kutoka na wizi na vitendo vya udhalilishaji vinavyoweza kutokea kupitia…
5 February 2024, 6:47 pm
Jamii yatakiwa kujitokeza kusaidia malezi
Kuna watoto wengi kwenye wanapitia changamoto ya kupata malezi inayotokana na ugumu wa maisha pamoja na wengine kukosa wazazi. Na Fred Cheti.Wito umetolewa kwa jamii kujitokeza kusaidia katika malezi kwa watoto wenye uhitaji wa huduma hiyo kwa kuwachukua na kuwapatia…
31 January 2024, 10:08 pm
Watoto wadaiwa kutumika biashara ya dawa za kulevya
Watoto wamekuwa wakitumiwa kusafirisha dawa hizo na kuwasababishia athari mbalimbali. Na Thadei Tesha.Kundi la watoto limetajwa kutumika kwa sehemu kubwa katika biashara haramu ya usafirishaji wa dawa za kulevya nchini. Hayo yamesemwa na kamishna Jenerali wa Mamlaka ya kudhibiti na…
12 December 2023, 8:40 pm
Taasisi binafsi zafundwa uandaaji wa mipango kazi
Mafunzo hayo yamewakutanisha wadau kutoka Asasi na Taasisi mbalimbali jijini Dodoma ili kuwajengea uwezo kuhusu upangaji wa mipango itakayo wawezesha kufanya kazi zenye tija kwa jamii. Na Mariam Kasawa. Taasisi na mashirika yasiyo ya kiserikali yametakiwa kuandaa mipango kazi itakayo…
12 December 2023, 9:04 am
Watekelezaji wa mpango wa makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto watakiwa kutenga…
Mkutano huo umezinduliwa leo jijini Dodoma ambapo umeambatana na ufungunguzi wa Mwongozo Jumuishi wa Taifa wa Utekelezaji wa Mpango wa (PJT-MMMAM). Na Mwandishi wetu. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Dkt. Dorothy Gwajima ametoa rai kwa…
7 December 2023, 9:47 pm
Miradi ya TASAF yakosa ushirikishwaji baina ya mfuko, viongozi na jamii
Aidha mabadiliko hayo ya malipo katika mfuko wa jamii wa kusaidia kaya maskini yalikuja yakiwa na lengo la kurahisisha utekelezi wa zoezi la utoaji fedha kwa walengwa. Na Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa kukosekana kwa nguvu ya ushirikishwaji katika miradi ya…
20 November 2023, 7:15 pm
Wananchi Chamwino waiomba serikali kudhibiti tembo wanaovamia makazi yao
Wananchi hao wanasema uvamizi wa wanyama hao unahatarisha maisha yao pamoja na mali zao. Na Seleman kodima. Wananchi wa kata za Manda, Fufu na Mlowa Bwawani wilayani Chamwino mkoani Dodoma wameiomba serikali kudhibiti tembo ambao wamekuwa wakivamia makazi ya watu…
19 November 2023, 11:45 am
Mlowa barabara wadai wizi wa mifugo unarudisha nyuma maendeleo yao
Wimbi la wizi wa mifugo limerejea kwa kasi mkoani hapa baada ya kuwepo utulivu wa zaidi ya miaka 17.Picha na Muungwana blog. Hata hivyo Serikali imeendelea kutoa mafunzo kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo ya jeshi la akibaa…
8 November 2023, 5:21 pm
Mifugo ya mwenyekiti mstaafu yapewa sumu asema anaumuachia Mungu
Ikumbukwe mtaa huo una mwenyekiti wa mtaa ambapo majukumu yake ni kusimamia na kuhamasisha ulinzi na usalama wa watu na mali zao na wananchi wana haki na wajibu wa kulinda mali, rasilimali za umma na kupambana na kila aina ya…