Dodoma FM
majanga ya asili
19 January 2022, 2:49 pm
Wananchi waiomba serikali kuendelea kutoa elimu juu ya kujikinga na majanga
Na; Thadei Tesha. Baadhi ya wananchi jijini hapa wameiomba serikali kupitia mamlaka zinazohusika kuendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya kujikinga na majanga mbalimbali ya asili. Hayo yanajiri kufuatia hivi karibuni kutokea tetemeko la Ardhi katika baadhi ya maeneo ambapo…
13 October 2021, 2:02 pm
Hali mbaya ya hewa yachangia ongezeko la majanga ya asili
Na; Fred Cheti. Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kuzuia majanga ya asili duniani ripoti kutoka umoja wa mataifa inataja kuwa hali mbaya ya hewa ni chanzo kinachosababisha ongezeko la majanga hayo ya asili katika karne hii ya 21.…