Dodoma FM

Magonjwa

October 4, 2022, 12:41 pm

Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya Ebola

Na;Mariam Matundu. Wakazi wa Dodoma wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa ebola  kwa kuepuka kula nyama pori ambazo hazija kaguliwa na wataalamu , kuepuka mikusanyiko pamoja na kuzingatia suala la unawaji mikono mara kwa mara. Tahadhari hiyo imetolewa Dkt…

December 13, 2021, 3:25 pm

Wanaume watakiwa kuvunja ukimya dhidi ya vitendo vya ukatili

Na; Thadei Tesha . Kutohudumia familia kwa baadi ya wanaume kunapelekea wanaume hao kufanyiwa vitendo vya ukatili na wenza wao na kukaa kimya. Taswira ya habari imefanya mahojiano na baadhi ya wananume kufahamu sababu zinazopelekea baadhi yao kusahau majukumu ya…

December 8, 2021, 2:20 pm

Jamii yatakiwa kuondoa hofu juu ya kuripoti matukio ya ukatili

Na; Shani Nicolaus . Wakati Tanzania ikiendelea kuungana na mataifa mengine katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia jamii imetakiwa kuondoa hofu juu ya kuripoti kesi za ukatili. Akizungumza na Dodoma fm msimsamizi mkuu wa dawati la jinsia…

September 27, 2021, 12:08 pm

Ripoti za matukio ya ukatili dhidi ya wanaume jijini Dodoma zaongezeka

Na; Shani Nicolaus. Imeelewza kuwa muitikio wa kuripoti vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanaume jijini Dodoma umeongezeka. Akizungumza na Taswira ya habari Afisa wa jinsia na watoto kutoka Kituo kikuu polisi Dodoma Maicko Nkinda Sabuni amesema kuwa kumekuwa na…

August 19, 2021, 1:21 pm

Serikali yaombwa kutoa elimu dhidi ya vitendo vya ukatili wa jinsia kwa jamii

Na; Benard Filbert. Baadhi ya wakazi Jijini Dodoma wameiomba Serikali kuhakikisha wanatoa elimu katika jamii kuhusu vitendo vya ukatili wa kijinsia na ubakaji ili kusaidia kukomesha tatizo hilo. Wamesema hayo wakati wakizungumza na taswira ya habari wakati wakielezea nini kifanyike…