Dodoma FM

Kilimo,

4 April 2024, 5:39 pm

Halmashauri ya Dodoma yaongeza uzalishaji wa Zabibu

Katika kipindi cha miaka 3kuanzia 2021-2024 miche 113,306 imeweza kuzalishwa. Na Fred Cheti.Halmshauri ya jiji la Dodoma imefanikiwa kuongeza uzalishaji wa zao la zabibu ambalo ndio zao kuu la kimkakati katika jijini la Dodoma . Hayo yameelezwa na bi Yustina…

18 March 2024, 12:36 pm

Bwawa Mtwango Ndachi lainua vijana kiuchumi

Mabwawa ya asili yanatumika kufugia samaki na mara nyingi bwawa la asili linaweza kupatikana ama kuwezekana kuundwa maeneo yenye udongo wa mfinyanzI na udongo huu una sifa kubwa ya kuhifadhi maji. Na Mindi Joseph. Uwepo wa Bwawa Mtwango katika Mtaa…

23 February 2024, 5:10 pm

Wananchi wakosa elimu ya kutosha utunzaji wa mbegu

Wakulima wanashauriwa kutumia mbegu bora kwa kununua mbegu katika duka lililosajiliwa na TOSCI ili kusaidia kubaini nani anayesambaza mbegu zisizo na ubora na kurahisisha namna ya kutatua changamoto itakayokuwa imejitokeza. Na Mindi Joseph. Uhifadhi sahihi wa mbegu umetajwa kuwa changamoto…

15 February 2022, 4:27 pm

Wakulima washauriwa kulima mazao ya muda mfupi

Na; Neema Shirima. Kutokana na kuwa na mvua za wastani katika mwaka huu wananchi wa mkoa wa Dodoma wameshauriwa kulima mazao ya muda mfupi na yanayostahimili mvua za wastani Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa mtaa wa Pinda kata ya Zuzu…