Dodoma FM

Jamii

21 September 2023, 3:15 pm

Katazo la unyago laungwa mkono na baadhi ya wananchi

Inaelezwa kuwa baadhi ya tamaduni zimekuwa zikiwafundisha mabinti katika unyago mambo ambayo hayastahili. Na Khadija Ayoub. Wananchi jijini Dodoma wameonesha kuunga mkono katazo la mh. Rais Samia Suluhu Hassan kuwapelekea watoto wa kike katika unyago kwani ni kuwaonea na kuwanyima…

19 September 2023, 2:46 pm

Serikali yaombwa kutunga sheria kali dhidi ya wanaotelekeza familia

Hayo yamaebainishwa na wananchi wilayani Bahi wakati wakizungumza katika mdahalo wa wazi ulioandaliwa na kipindi cha Sakuka na kufanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Na Alfred Bulahya. Wananchi wilayani Bahi mkoani Dodoma wameiomba serikali na bunge kutunga sheria kali kuhusu watu…

18 September 2023, 4:52 pm

Jamii yatakiwa kuwajali yatima na wajane

Katika tukio hilo Jumuiya ya wanawake wakiislamu Tanzania JUWAKITA wilaya ya Dodoma ililenga kuwa pamoja na Wajane 50 na Yatima 100 ikiwa ni muendelezo wa Kutenda Matendo Mema kwa Jamii . Na Seleman Kodima. Jamii imekumbushwa kuwajali,Kuwasaidia na kuwatazama zaidi…

13 September 2023, 4:59 pm

Nini kinapelekea baadhi ya wazazi kutelekeza familia

Leo mchanyato upo Bahi kuzungumza na Jane Mgidange ambaye  ni mratibu wa Elimu jumuishi Wilaya Ya Bahi Kufahamu zaidi nini sababu za  kutelekeza familia. Na Leonard Mwacha. leo tunaangazia sababu za kutelekeza familia ambapo jamii inahusika moja kwa moja kabla…

5 September 2023, 3:35 pm

Watoto wasaidiwe kuvuka barabara ili kuepusha ajali

Kundi la watoto ni miongoni mwa makundi yanayohitaji misaada hususani pale wanapokuwa katika maeneo ya barabara ili kuepukana na ajali zinazoweza kutokea. Na Thadei Tesha. Jamii imetakiwa kushiriki katika suala la kuwasadia watoto pale wanapoelekea shuleni na maeneo mengine ya…

31 July 2023, 6:33 pm

Wazazi, walezi watakiwa kutowaficha watoto wenye ulemavu

Jamii imeendelea kusisitizwa kutowaficha watoto wenye changamoto ya ulemavu wowote bali iwaweke wazi ili waweze kupatiwa mahitaji ya msingi ikiwemo elimu. Na Pius Jayunga. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga amewataka wazazi na…