Dodoma FM

haki za binadamu

18 August 2021, 1:19 pm

Tume ya haki za binadamu kushirikiana na LHCR

Na; Alfred Bulahya. Tume ya haki za Binadamu na Utawala Bora imesaini mkataba wa makubaliano mengine ya kushirikiana kufanya kazi na kituo Cha sheria na haki za Binadamu LHCR Kwa ajili ya kulinda, kutetea na kustawisha haki za makundi maalumu…