Dodoma FM

Ardhi

26 March 2024, 7:42 pm

Wanchi Ndachi wakumbwa na sintofahamu Mgogoro wa Ardhi

Mtaa wa Ndachi umekuwa ukiandamwa na migogoro ya ardhi kwa muda mrefu sasa ambapo kwa mujibu wa mwenyekiti wa Mtaa huo migogoro hiyo bado ina sintofahamu. Na Mindi Joseph.Wananchi wa Mtaa wa Ndachi kata ya Mnadani wamesema hawajui hatima yao…

6 March 2024, 6:54 pm

Malipo yakwamisha urasimishaji wa ardhi Ihumwa

Zoezi hilo la urasimishaji linahusisha zaidi ya viwanja 2500 kwa upande wa mtaa wa ihumwa A ambapo inaelezwa kwa ni viwanja visivyozidi 100 ndivyo vimelipiwa. Na Victor Chigwada.Kusuasua kwa Malipo ya zoezi la Urasimishaji wa ardhi katika kata ya Ihumwa…

15 February 2024, 4:01 pm

Wananchi Majeleko walalamika kucheleweshewa fedha za fidia

Mradi BBT umebeba program ya ajira kwa vijana kupitia sekta ya kilimo ambapo ilizinduliwa mnano Agosti 3-2022 na kuanza majaribio katika mikoa ya miwili ya Dodoma na Mbeya . Na Victor Chigwada.Wakazi wa kata ya Majeleko wilayani Chamwino wamelalamika kucheleweshewa…

6 September 2021, 11:38 am

Jamii yatakiwa kuwapa wanawake kipaumbele cha kumiliki rasilimali

Na;Yussuph Hans. Imeelezwa kuwa Wanawake wamekuwa na Mchango mkubwa katika familia, Jamii ikiwapa kipaumbele cha kumiliki Rasilimali. Hayo yamebainishwa na Afisa Maendeleo ya Vijana Halmashauri ya Jiji la Dodoma Bw Mfungo Manyama wakati akizungumza na kituo hiki ambapo amesema ni…