Dodoma FM

Viongozi wa dini watakiwa kutoa huduma nzuri kwa wananchi

18 September 2023, 3:34 pm

Picha ni waumini wa kanisa la Kanisa la Pentecostal Christian International lililopo Mji Mwema Dodoma. Picha na Yussuph Hassan.

Kanisa la Pentecostal Christian International lililopo Mji Mwema Dodoma limesimika viongozi 20 katika nafasi za huduma mbalimbali.

Na Yussuph Hassan.

Viongozi waliosimikwa katika nafasi mbalimbali ndani ya Kanisa la Pentecostal Cristian International lililopo Mji Mwema Dodoma, wametakiwa kutoa huduma nzuri kwa jamii.

Akizungumza katika ibada ya kuwasimikia Viongozi hao Askofu Tomas Kiula amesema kuwa ni vyema kwa viongozi kuheshimu nafasi walizozipata.

Sauti ya Askofu Tomas Kiula.
Picha ni Katibu Mwenezi CCM khalid Ahmad Zoya alihudhuria katika ibada hiyo.Picha na Yussuph Hassan.

Naye Katibu Mwenezi CCM khalid Ahmad Zoya aliyehudhuria katika ibada hiyo alikuwa nasaha hizi kwa viongozi hao huku akiahidi kutoa mchango katika shughuli za kanisani hapo.

Sauti ya Katibu Mwenezi CCM khalid Ahmad Zoya.