Dodoma FM

Taasisi, viongozi wa dini washirikishwe kutoa elimu anuani za makazi

15 September 2023, 8:02 am

Picha ni watendaji wa kata wakiwa katika mkutano na mkuu wa wialaya ya Dodoma.Picha na Thadei Tesha.

Ufunguzi wa mafunzo ya kujenga uwezo kuhusu mfumo wa anuani za makazi kwa maafisa tarafa watendaji wa kata,na wenyeviti wa mitaa umefunguliwa leo katika ukumbi wa chuo cha mipango jijini Dodoma ambapo unatarajia kufanyika kwa muda wa siku mbili.

Na Thadei Tesha.

Viongozi wa serikali za mtaa jijini Dodoma wametakiwa kushirikisha Taasisi za dini kamati za usalama katika kuendesha na kutoa elimu juu ya anuani za makazi.

Akizungumza na viongozi wa kata katika mkutano wa kuwajengea uwezo kuhusu mfumo wa anuani za makazi, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri amesema anuani za makazi ni hitaji la msingi katika sekta mbalim,bali nchini..

Sauti ya Mh.Jabir Shekimweri.
Picha ni mkuu wa wialaya ya Dodoma Mh. Jabir Shekimweri akiongea na viongozi hao.Picha na Thadei Tesha.

Naye mratibu wa utekelezaji wa anuani za  makazi Mhandisi Jampyon Mbugi Ameelezea umuhimu wa anuani za makazi.

Sauti ya Mhandisi Jampyon Mbugi .

Kwa upande wao baadhi ya washiriki ambao ni viongozi wa mitaa mbalimbali wameelezea matarajio yao baada mafunzo hayo ya anuani za makazi.

Sauti za baadhi ya washiriki
Picha ni Viongozi hao wakiwa katika mkutano huo . Picha na Thadei Tesha.