Dodoma FM

Madereva jijini Dodoma walia na bei ya mafuta

7 September 2023, 12:22 pm

Picha ni baadhi ya maafisa usafirishaji(bodaboda )wakilalamika kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta. Picha na Katende.

Serikali imetangaza bei mpya ya mafuta ambapo kwa sasa wastani wa bei kikomo kwa mkoa wa Dodoma ni shilingi 3271 kwa mafuta ya petrol, shilingi 3318 kwa mafuta ya diseli na mafuta ya taa shilingi 3002.

Na Katende.

Wamiliki wa vyombo vya usafiri Jijini Dodoma wamelalamikia suala la kupanda kwa bei ya mafuta hatua iliyosababisha kuwepo kwa hasara katika shughuli za kiuchumi ikiwemo usafirishaji wa abiria.

Dodoma TV imefanya mahojinao na baadhi ya madereva wa Pikipiki na Bajaji nao wakawa na haya ya kusema juu ya suala hilo.

Sauti za madereva.
Picha ni bei elekezi za mafuta wa Dodoma Mjini . Picha na Katende.

Kwa upande wao madereva wa Daladala nao wakawa na haya ya kusema juu ya suala la kupanda kwa bei ya mafuta.

Sauti za madereva daladala.