Dodoma FM

Upungufu wa madarasa Vilindoni wasababisha mrundikano wa wanafunzi

6 September 2023, 2:27 pm

Picha ni darasa la awali katika shule hiyo ambalo linahitaji ukarabati. Picha na George John.

Jumla ya madarasa 19 yanahitajika kujengwa katika shule hiyo ili kupunguza mrundikano wa wananfunzi darasani.

Na Mindi Joseph.

Upungufu wa madarasa katika shule ya msingi Vilindoni umesababisha mrudukano wa wananfunzi darasani.

Darasa moja wanafunzi wanakadiriwa kukaa 90 hadi 100.

Afisa Elimu kata ya Mbabala Mwl Shabani Kijoji akiongea na Dodoma Tv. Picha na George John.

Hapa mwalim Mkuu wa wa shule Hiyo Dorotea Mdushi anasema shule yake inamadarasa 8 huku idadi ya wanafunzi ikiwa ni kubwa.

Sauti ya Dorotea Mdush mwalim Mkuu wa wa shule Hiyo.

Kwa upande wake Afisa Elimu kata ya Mbabala Mwl Shabani Kijoji alikuwa na haya ya kusema.

Sauti ya Mwl Shabani KijojiAfisa Elimu kata ya Mbabala.