Dodoma FM

Nini kifanyike kesi za ukatili wa kingono zisimalizwe kifamilia?

10 August 2023, 2:01 pm

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis akizungumza wakati wa uzinduzi wa   Taarifa ya utafiti wa Hali ya ukatili dhidi ya watoto. Picha na Michuzi Blog.

Serikali itaendelea kuimarisha mifumo yote ya ulinzi na usalama wa mtoto kama ilivyoelekezwa katika mikataba ya kikanda na kimataifa kuhusu haki na ustawi wa mtoto ili kuhakikisha hakuna mtoto anayefanyiwa vitendo vya ukatili.

Na Mariam Matundu.

Na leo tumepita Mtaani kuhoji Wananchi kuhusu ,nini kifanyike ili kesi za ukatili wa kingono zisimalizike kifamilia ?