Dodoma FM

Ujenzi wa madarasa shule ya msingi Magungu wafikia asilimia 85

3 August 2023, 3:53 pm

Picha ni jengo la vyumba vya madarasa ambalo bado lipo kwenye ukarabati. Picha na Mindi Joseph.

Shule ya msingi Magungu awali ilikuwa na madarasa 2 na kusababisha wanafunzi kusoma kwa kupokezana.

Na Mindi Joseph.

Ujenzi wa Madarasa Mapya 9 na matundu ya vyoo 16 katika shule ya Msingi Magungu Wilayani Chemba kupitia mradi wa BOOST umefikia asilimia 85.

Huyu ni Mwananchi ambaye amejitoa kushiriki katika ujenzi wa shule hiyo anasema.

Sauti ya Mwananchi
Diwani wa kata ya Mpendo Bernad Kapaya akizungumza na Dodoma Tv kuhusu ujenzi wa shule hiyo . Picha na Mindi Joseph.

Mwenyekiti wa kata ya Mpendo Mathias John amewapongeza wananchi kwa kujitoa katika ujenzi huo.

Sauti ya Mwenyekiti

Diwani wa kata ya Mpendo Bernad Kapaya anaeleza kabla ya kupata mradi wa BOOST hali iliyokuwa katika shule hiyo.

Sauti ya Diwani wa kata ya Mpendo.