Dodoma FM

Utunzaji wa mila na Desturi katika  wilaya ya Bahi

26 July 2023, 5:55 pm

Ngoma pia ni moja ya utambulisho wa mila na desturi za wakazi wa eneo hilo. Picha na Fahari ya Dodoma.

Je wakazi wa eneo hili bado wanadumisha mila na desturi.

Na Yussuph Hassan.

Bado tupo wilayani Bahi kuitazama historia ya wilaya hii na leo tutafahamu kuhusu wenyeji wa eneo hili ni kabila gani hasa.