Dodoma FM

Historia kuanzishwa mashamba ya mpunga wilayani Bahi

24 July 2023, 5:27 pm

Mnamo mwaka 1983 Shirika la Chakula Duniani FAO lilifika maeneo hayo ambapo kilimo cha mpunga kianzishwa baada ya kuchimba mabwawa kadhaa. Picha na Fahari ya Dodoma.

Je, kipi kilichangia msukumo wa kuanzishwa kwa mashamba ya mpunga wilayani Bahi?

Na Yussuph Hassan

Tunaendelea kuitazama historia ya wilaya ya Bahi iliyopo mkoani Dodoma na leo tunaangalia historia ya kuanzishwa kwa mashamba ya mpunga wilayani humo.