Dodoma FM

Zifahamu taratibu za kutoa maoni katika vituo vya Afya na hospitali ya Rufaa

18 July 2023, 5:05 pm

Dokta Flora kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma akielezea taratibu za kutoa maoni katika vituo vya Afya na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Picha na Noah Patrick.

Je unafahamu utaratibu wa kutoa maoni baada ya kupata huduma katika kituo cha Afya au hospitali endapo hukuridhishwa na huduma?

Na Yussuph Hassan.

Imeleezwa kuwa kila kituo cha afya kina utaratibu wa kupokea maoni yanayotolewa pindi mpokea huduma anapoenda kupatiwa matibabu katika vituo hivyo, kadhalika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma pia ina huduma hiyo na hapa tunaelezwa utaratibu huo.