Dodoma FM

Hatua za kufuata kuepukana na ugonjwa wa saratani ya jicho

14 July 2023, 6:45 pm

Ugonjwa wa saratani ya jicho kwa watoto ni ugonjwa ugonjwa wa kurithi . Picha Na Yussuph Hassan.

Na Yussuph Hassan. Ugonjwa wa saratani ya jicho kwa watoto ni ugonjwa ugonjwa wa kurithi ambapo Dkt Japhet Bright Bingwa wa Mgonjwa ya Macho kutoka Hospital ya rufaa ya Dodoma anazungumzia nini cha kufanya ili kuepuakana na ugonjwa huo.