Dodoma FM

DUWASA kutatua changamoto ya maji Nala

2 May 2023, 3:06 pm

Mtaa wa Segu bwawani uliopo katika kata ya Nala Jijini Dodoma. Picha na Mindi Joseph.

Mkoa wa Dodoma, umekuwa na Uendelezaji wa vyanzo vya maji (uchimbaji wa visima na ujenzi wa mabwawa) kwa kutumia vyanzo vikuu kama vile Uchimbaji wa visima virefu 34.

Na Mindi Joseph.

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma imesema mpango wa kutoa maji Zuzu kuleta Nala unalenga kutatua changamoto ya Maji inayowakabili wakazi wa Nala.

Mkurugenzi wa Usambazaji Majisafi na Usafi wa Mazingira DUWASA, Mhandisi Emmanuel Mwakabole ametolea ufafanuzi kuhusiana na hali ya maji eneo la Nala hususani Mtaa wa Segu Bwawani.

Sauti ya Mkurugenzi wa Usambazaji Majisafi na Usafi wa Mazingira DUWASA
Mtaa wa Segu bwawani uliopo katika kata ya Nala Jijini Dodoma. Picha na Mindi Joseph.

Ameongeza kuwa wanampango wa kutoa  Maji  katika Eneo la Zuzu na kuleta Nala.

Sauti ya Mkurugenzi wa Usambazaji Majisafi na Usafi wa Mazingira DUWASA