Dodoma FM

Dalili za ugonjwa wa Surua

25 April 2023, 4:58 pm

Mratibu wa Huduma za Chanjo Halmashauri ya Jiji la Dodoma Victor Kweka. Picha na Yussuph Hassan.

Ugonjwa wa surua unaweza kumpata mtu wa rika lolote, husababishwa na virusi vinavyosambazwa kwa matone madogo hewani baada ya mtu mwenye surua kukohoa au kupiga chafya.

NaYussuph Hassan.

Surua ni ugonjwa unaosababishwa na virusi ambapo inaelezwa kuwa dalili zake zinaweza kufanana na baadhi ya magonjwa mengine.

Mratibu wa Huduma za Chanjo Halmashauri ya Jiji la Dodoma Victor Kweka leo anazungumzia dalili zake.