

4 April 2023, 3:48 pm
Maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke yanayosababishwa na bakteria wakati mwingine huweza kupelekea ugumba.
Ugonjwa wa maambukizi katika via vya uzazi P.I.D ni moja kati ya magonjwa ya zinaa yanayoweza kusababisha ugumba kwa mwanamke endapo hatapatiwa tiba kwa wakati.