Dodoma FM

Biashara ya ufugaji wa njiwa na faida zake

27 March 2023, 2:43 pm

Ufugaji wa njiwa katika eneo la makole jijini dodoma.Picha na Martha Mgaya

Ufugaji wa njiwa ni moja kati ya biashara ambayo inaweza kusaidia baadhi ya watu kujinufaisha na kujikwamua kiuchumi.

Na Thadei Tesha.

Ufugaji wa njiwa ni moja kati ya biashara ambayo inaweza kusaidia baadhi ya watu kujinufaisha na kujikwamua kiuchumi.

Bw. Deogratius ni Mfugaji wa njiwa katika eneo la makole jijini dodoma hapa anaanza kwa kutuelezea aina ya njiwa anaofuga na Alianza vipi kufanya biashara hiyo?

Sauti ya mfugaji wa njiwa Bw. Deogratius.

aidha anaeleza ni kwa namna gani shughuli hiyo ilivyomsaidia yeye kuendesha maisha yake na kujikwamua kiuchumi huku akitoa wito kwavijana kujishughulisha na biashara hiyo.

Sauti ya mfugaji wa njiwa Bw. Deogratius.

kwa mujibu wa Bw Temba anasema kuwa kwa wstani wa bei ya njiwa mmoja ni wastani wa shilingi laki moja na themanini mpaka laki nne za kitanzania.