Dodoma FM

Shule ya msingi Chihoni yapokea msaada wa vyandarua

1 March 2023, 4:27 pm

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chihoni kata ya Nala wakipokea vyandarua. Picha na Fred Cheti.

Halmshauri ya jiji la Dodoma inaendelea na zoezi la ugawaji wa vyandarua kwa wanafunzi wa shule za Msingi na awali ambapo jumla ya wanafunzi wapatao 122,000  kutoka shule 158 wanatarajiwa kupatiwa vyandarua.

Na Fred Cheti.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chihoni iliyopo kata ya Nala jijini hapa wamegawia vyandarua ikiwa ni sehemu ya zoezi ya ugawaji wa vyandarua kwa shule  za Msingi na awali katika jiji la Dodoma linalofanywa na halamshauri ya jiji.

Akizungumza mara baada ya zoezi hilo la ugawaji wa vyandarua kwa wanafunzi wa shule hiyo ya Msingi Chihoni   Mratibu wa Malaria katika jiji la Dodoma Dkt .Gasper Kisenga amesema.

Sauti ya Mratibu wa Malaria katika jiji la Dodoma Dkt .Gasper Kisenga.

Baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo ya Msingi Chihoni baada ya kupata  vyandarua hivyo nao walikua na haya ya kusema.

Sauti ya wanafunzi wa shule ya Msingi Chihoni.

Kwa upande wao pia baadhi ya wazazi wa wanafunzi katika shule hiyo wamezungumza kuhusiana na kupatiwa vyandarua hivyo kwa watoto wao.

Sauti ya wazazi