Dodoma FM

Jamii yatakiwa kuendelea kuwasaidia watu wenye mahitaji maalumu

20 February 2023, 9:29 am

Baadhi ya watoto wa kituo cha Tumaini wakipata chakula cha pamoja . Picha na Noah Patrick.

kituo cha tumaini kilichopo Ihumwa kina jumla ya watoto 150 wanaolelewa kituoni hapo na wajane 100 ambao wamesaidiwa katika kujiendeleza na miradi mbalimbali ya maendeleo.

Na Fred Cheti                    

Jamii imeshauriwa kuendelea kuwasaidia watu wenye uhitaji ndani ya jamii hata kwa mahitaji madogo, ili kutatua changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo.

wito huo umetolewa na Afisa Masoko kutoka kituo cha utangazaji Dodoma tv Bw Daniel wakati akitoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha kulea watoto wanaotoka katika mazingira magumu Tumaini kilichopo Ihumwa Jijini Dodoma.

Bwn. Daniel amebainisha dhamira yake katika kusaidia jamii hiyo akiahidi kuendelea kusaidia

Afisa masoko .

kwa upande wake mlezi katika kituo hicho amepongeza msaada huo akisema kuwa utawasaidia watoto katika kukidhi baadhi ya mahitaji yao.

Mlezi.

Nao baadhi ya watoto walioshiriki katika kupokea msaada huo walikuwa na haya ya kusema.

Watoto.