Dodoma FM

Idara ya afya Watakiwa kutoa huduma bora kwa wananchi Kongwa

8 February 2023, 2:42 pm

Donald Mejiti mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi Taifa kutoka mkoa wa Dodoma.Picha na Single newa

Watumishi wa idara ya Afya wilayani Kongwa wametakiwa kutoa huduma bora kwa wananchi zinazoendana na ubora wa miundombinu.

Na Bernad Magawa.

Donald Mejiti mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi Taifa kutoka mkoa wa Dodoma ameyasema hayo alipotembelea wilayani Kongwa kujionea miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa ilani ya chama cha mapinduzi CCM.

Donald Mejiti.

Sambamba na hayo amewataka wanafunzi kusoma kwa bidii ili kutengeneza taifa lenye wataalam wengi zaidi hapo baadae.

Donald Mejiti.

Nae Hosea Silvanus mjumbe wa kamati ya siasa mkoa wa Dodoma amehoji juu ya utatuzi wa changamoto katika hospital ya wilaya Kongwa.

Hosea Silvanus mjumbe wa kamati ya siasa mkoa wa Dodoma.