Dodoma FM

Simulizi Ya Utawala wa Kitemi katika Kabila La Kigogo

3 February 2023, 9:47 am

Mtangazaji Yussuph Hassan Akituonyesha baadhi ya vitu alivyokuwa akitumia Mtemi wa Kigogo.Picha na Martha Mgaya

Simulizi hii inatuonyesha maswala mazima ya utawala na vitu mbalimbali ambavyo alikuwa akitumia Mtemi wa kabila la Kigogo.

Na Yussuph Hassan

Chifu Razaro Masuma Chihoma akiwa anasimulia simulizi hiyo.Picha na Martha Mgaya

Chifu Razaro Masuma Chihoma kutoka katika kata ya Iyumbu Imaya ya Bwibwi jijini Dodoma asimulia simulizi yote hiyo ya kusisimua ya kabila hilo la Kigogo.