Dodoma FM

Waziri Adolfu Mkenda atoa sababu za Necta kutotangaza Shule Bora

2 February 2023, 11:15 am

Waziri Aldofu Mkenda akitoa sababu bungeni Dodoma.Picha na Mwananchi

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ametoa ufafanuzi na sababu NECTA Haitangazi Shule Bora na Zile Zilizofanya Vibaya.

Na Seleman Kodima.

Amesema kuwa takwimu zote ambazo zinahusu kutangaza shule ipi bora zinapatikana na wala sio siri bali Baraza la mitihani Tanzania limejiondoa katika jukumu la kusema shule ipi ni bora.

Ameyasema hayo kwenye Maswali na Majibu ambapo Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda akitoa ufafanuzi zaidi .

Profesa Adolf Mkenda.